MASWAYETU-BLOGSPOT

MASWAYETU-BLOGSPOT

Breaking News
Loading...

Latest Post

Thursday, January 2, 2020

MWAMAPALALA SEKONDARI-2020

Je unaifahamu vizuri Mwamapalala Secondary? ??? Ni shule inayomilikiwa na JIMBO KATOLIKI LA SHINYANGA, na imesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya Elimu taifa Na 25 ya 1978 kifungu cha 26 (3). Ipo mkoani Simiyu wilaya mpya kabisa iitwayo ITILIMA, Je ni shule mpya? Hapana ni shule kongwe kwani ilianzishwa mwaka 1989, na shule ina mazingira rafiki ya kujifunzia na kujisomea, ..!! kwa kidato cha kwanza tayari tulishaanza kutoa fomu ..!! Pia bado tunapokea kwa wanafunzi wanaohamia..!!

       "Hakika yajayo yanafurahisha"

Kwa maelekezo zaidi na namna/jinsi ya kupata fomu naomba nitafute kwa                   
  Mwl Gaspal JM simon                           0757217587

Monday, December 31, 2018

TUMWABUDU MUNGU

Karibu utizame kwaya yetu  ya faith is action  kwa kubonyeza hapa FIA
Pia usisahau kuwashirikisha wengine

Thursday, January 25, 2018

Hizi hapa Nafasi za Kazi zilizotangazwa leo Januari 26, 2018 kutoka mashirika na makampuni mbalimbali

Wednesday, January 24, 2018

Hizi hapa Nafasi za Kazi zilizotangazwa leo Januari 25 2018 kutoka Mashirika na makampuni ya kiserikali na binafsi

Monday, January 22, 2018

Hizi hapa Nafasi za Kazi zilizotangazwa leo Tarehe 23 Jan. 2018 kutoka mashhirika na makampuni mbalimbali

Tuesday, January 2, 2018

Hizi hapa Nafasi za Kazi zilizotangazwa leo Jumanne tar 02 Jan 2018 kutoka mashirika na makampuni mbalimbali

Sunday, December 17, 2017

NAFASI ZA KAZI LEO TAR. 18 DISEMBA 2017

 


Travel

About Us