Taarifa kutoka Ikulu: Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) | MASWAYETU-BLOGSPOT
Breaking News
Loading...

Thursday, October 27, 2016

Taarifa kutoka Ikulu: Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)

BONYEZA HAPO CHINI KUJUA KUHUSU LINI AJIRA ZA WALIMU 2015/2016 ZITATOKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 27 Oktoba, 2016 amemteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Bw. Samwel Peter Kamanga ameteuliwa kushika wadhifa huo kuanzia  tarehe 27 Oktoba, 2016.

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Samwel Peter Kamanga alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
v

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     


    Travel

    About Us