mimea aina ya Azadirachta indica na Vachelia
nilotica ambayo imeonyesha uwezo mkubwa wa kuuwa bakteria na vimelea wengine
waliopo mdomoni. Si mimea hii pekee tu inayotumika kama mswaki ipo mingi sana
nchini.
Lakini katika tafiti nyingi zilizofanyika
zinaonyesha mmea aina ya Salvadora Persia ndo unaopendwa sana na watu wwa
maeneo mengi kwani unauwezo mkubwa wa kuzuia magonjwa ya kinywa na meno (dental
carries, harufu mbaya na kung’oka kwa meno kwa wazee. Mmea huu umeonyesha uwezo
mkubwa wa kuua bakteria.
Miswaki hii katika jiji la Dar es Salaam hupatikana
kwenye masoko kwa bei ya shilingi 300 mpaka 500. Kwahiyo kwanzia leo kama hauna
hela ya kununua dawa ya mswaki au upo maeneo ambayo upatikanaji wa bidhaa hii ni
wa shida ni bora ni vyema ukatafuta mswaki unaotokana na miti shamba kwani ni
upatikanaji wake ni rahisi na hauna madhara yeyote kiafya.
0 comments:
POST A COMMENT