PICHA :TUNDU LISSU NA WEMA SEPETU walivyofikishwa mahakamani mchana huu. | MASWAYETU-BLOGSPOT
Breaking News
Loading...

Thursday, February 9, 2017

PICHA :TUNDU LISSU NA WEMA SEPETU walivyofikishwa mahakamani mchana huu.

BONYEZA HAPO CHINI KUJUA KUHUSU LINI AJIRA ZA WALIMU 2015/2016 ZITATOKA
Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu mchana huu  kujibu tuhuma zinazowakabili.

Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uchochezi .Kesi inayomkabili Wema Sepetu ni kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake
     Picha na Gaspal Simon v

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     


    Travel

    About Us