MWAMAPALALA SEKONDARI-2020 | MASWAYETU-BLOGSPOT
Breaking News
Loading...

Thursday, January 2, 2020

MWAMAPALALA SEKONDARI-2020

BONYEZA HAPO CHINI KUJUA KUHUSU LINI AJIRA ZA WALIMU 2015/2016 ZITATOKA
Je unaifahamu vizuri Mwamapalala Secondary? ??? Ni shule inayomilikiwa na JIMBO KATOLIKI LA SHINYANGA, na imesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya Elimu taifa Na 25 ya 1978 kifungu cha 26 (3). Ipo mkoani Simiyu wilaya mpya kabisa iitwayo ITILIMA, Je ni shule mpya? Hapana ni shule kongwe kwani ilianzishwa mwaka 1989, na shule ina mazingira rafiki ya kujifunzia na kujisomea, ..!! kwa kidato cha kwanza tayari tulishaanza kutoa fomu ..!! Pia bado tunapokea kwa wanafunzi wanaohamia..!!

       "Hakika yajayo yanafurahisha"

Kwa maelekezo zaidi na namna/jinsi ya kupata fomu naomba nitafute kwa                   
  Mwl Gaspal JM simon                           0757217587 v

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     


    Travel

    About Us