Haya hapa magazeti ya leo Jumapili ya Tarehe 25 Juni 2017 ndani na nje ya nchi. Sambamba na magazeti ya kimiche...
Saturday, June 24, 2017
Haya hapa magazeti ya leo Jumapili ya Tarehe 25 Juni 2017 ndani na nje ya nchi. Sambamba na magazeti ya kimichezo
SHARE!
Rayvanny Aibuka Shujaa Kwenye Tuzo za BET. Aijengea historia Tanzania
Rayvanny Aibuka Shujaa Kwenye Tuzo za BET. Aijengea historia Tanzania: Hatimaye kwa mara ya kwanza Tanzania imefanikiwa kunyakua tuzo ya BET. Tuzo hizo ambazo zimegaiwa usiku huu mjini Los Angeles, k....
SHARE!
Saturday, June 10, 2017
TFF wajibia sakata la kutafuna posho ya vijana wa Serengeti Boys
TFF wajibia sakata la kutafuna posho ya vijana wa Serengeti Boys: Kuna taarifa zimekuwa zikienea na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatel....
SHARE!
Friday, June 9, 2017
Breaking News:Muhimu:Soma hapa Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano na Vyuo Vya Ufundi 2017
Published Under
ajira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017 huku jumla ya wanafunzi 2,999 wakiachwa.
Simbachawene ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi ws habari na kusema kuwa ufaulu kwa mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 3.75 ukilinganisha...
SHARE!
Thursday, June 1, 2017
Monday, May 22, 2017
TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!
Je ungehitaji tukufanyie application za Chuo kwa haraka na kwa ufasaha zaidi?
hujachelewa, maswayetu blog kupitia term yake inafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa na kwa makini sana, hivyo tunakukaribisha ewe mdau unayehitaji kufanyiwa application za vyuo mbali mbali hasa kwa we uliopo kijijini,
Pia tunatoa ushauri mbali mbali kuhusiana na nini ufanye kulingana na matokeo yako, hivyo kabla hujataka apply soma guide book kupitia www.nacte.go.tz kwanza afu ndo tuwasiliane kwa namba zifuatazo,
NB: KUMBUKA MAOMBI YOTE YANAFANYIKA ONLINE KUPITIA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI WANAFUNZI...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)