Alichokisema Leo RC Paul Makonda Akiwa Polisi Kuhusu Madawa ya Kulevya | MASWAYETU-BLOGSPOT
Breaking News
Loading...

Monday, February 6, 2017

Alichokisema Leo RC Paul Makonda Akiwa Polisi Kuhusu Madawa ya Kulevya

BONYEZA HAPO CHINI KUJUA KUHUSU LINI AJIRA ZA WALIMU 2015/2016 ZITATOKA

Leo  mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezungumza akiwa kituo cha kati cha Polisi Dar es salaam pembeni ya Kamishna Simon Sirro kuhusu ishu ya dawa za kulevya inayoendelea kwenye headlines.

Mambo  aliyoyasema mkuu wa mkoa Paul Makonda leo ni kutoa siku kumi kuanzia kesho February 7 2017 kwa Wenyeviti wa mtaa, Wazazi na Watumiaji na Wafanyabiashara.

==>Natoa siku 10 kwa kila Mwenyekiti wa Mtaa kwenye mitaa yote Dar es salaam kutoa taarifa za mtaa wake juu ya dawa za kulevya.

==>Natoa siku 10 kuanzia kesho kwa Wazazi, kama wewe ni mzazi unaishi na mtoto anatumia dawa za kulevya na unaishi nae, njoo utoe taarifa….. tukikukamata baada ya siku kumi na mwanao anahusika tutaamini na wewe ulikua sehemu ya kumfanya mtoto wako atumie dawa za kulevya.

==>Natoa siku 10 kwa Wafanyabiashara na Watumiaji wa dawa za kulevya, waje wenyewe Polisi kwa kamishna, kama umekua ukifanya biashara ya dawa za kulevya na umeacha njoo Polisi, nguvu tunayo, uwezo tunao…. hakuna kiunga tutashindwa kufika, hizi kelele nyingine zinatupa hamasa picha na Gaspal Simon mazengo

v

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     


    Travel

    About Us