KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA KAGERA SUGAR SIKU YA JUMAMOSI KOCHA MAXIME ANENA HAYA.. | MASWAYETU-BLOGSPOT
Breaking News
Loading...

Thursday, March 9, 2017

KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA KAGERA SUGAR SIKU YA JUMAMOSI KOCHA MAXIME ANENA HAYA..

BONYEZA HAPO CHINI KUJUA KUHUSU LINI AJIRA ZA WALIMU 2015/2016 ZITATOKA
                                                               
“Tunaendelea vizuri na maandalizi yetu ya mechi za ligi kuu zilizobakia, lakini napenda kuchukua nafasi hii kusema kuwa timu zote tutakazokutana nazo katika kipindi hiki cha lala salama zinatakiwa zijipange,” alisema Maxime.


Kagera Sugar wanatarajiwa kuwaalika Simba Machi 11, kwenye Uwanja wa Kaitaba, uwanja ambao umekuwa mgumu kwa Simba kupata ushindi kwa kipindi kirefu.
v

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     


    Travel

    About Us