YANGA KUIVAA ZANACO YA ZAMBIA JUMAMOSI HII SAA KUMI HUKU NGOMA, TAMBWE, KAMUSOKO WAKILEJEA UWANJANI,ISIPOKUWA…. | MASWAYETU-BLOGSPOT
Breaking News
Loading...

Thursday, March 9, 2017

YANGA KUIVAA ZANACO YA ZAMBIA JUMAMOSI HII SAA KUMI HUKU NGOMA, TAMBWE, KAMUSOKO WAKILEJEA UWANJANI,ISIPOKUWA….

BONYEZA HAPO CHINI KUJUA KUHUSU LINI AJIRA ZA WALIMU 2015/2016 ZITATOKA


 “Wachezaji wote waliokuwa na majeraha wameshaanza mazoezi Jumatano hii, isipokuwa wachezaji wawili Beno Kakolanya na Pato Ngonyani ambaye alikuwa na Malaria na wanaendelea na matibabu lakini wengine wote wameshaanza mazoezi. Mashabiki wa Yanga waondoe wasiwasi kwa sababu Tambwe, Ngoma na Kamusoko wote wapo vizuri na wanaweza kutumika katika mchezo wa Jumamosi ikiwa watapewa nafasi na benchi la ufunzi,” anasema Dk. Bavu.
v

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     


    Travel

    About Us