MASWAYETU-BLOGSPOT: sports
Breaking News
Loading...
Showing posts with label sports. Show all posts
Showing posts with label sports. Show all posts

Saturday, April 22, 2017

Taarifa ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhusu sakata la Simba

...

Thursday, March 9, 2017

KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA KAGERA SUGAR SIKU YA JUMAMOSI KOCHA MAXIME ANENA HAYA..

                                                                “Tunaendelea vizuri na maandalizi yetu ya mechi za ligi kuu zilizobakia, lakini napenda kuchukua nafasi hii kusema kuwa timu zote tutakazokutana nazo katika kipindi hiki cha...

YANGA KUIVAA ZANACO YA ZAMBIA JUMAMOSI HII SAA KUMI HUKU NGOMA, TAMBWE, KAMUSOKO WAKILEJEA UWANJANI,ISIPOKUWA….

 “Wachezaji wote waliokuwa na majeraha wameshaanza mazoezi Jumatano hii, isipokuwa wachezaji wawili Beno Kakolanya na Pato Ngonyani ambaye alikuwa na Malaria na wanaendelea na matibabu lakini wengine wote wameshaanza mazoezi. Mashabiki wa Yanga waondoe wasiwasi kwa sababu Tambwe, Ngoma na Kamusoko wote wapo vizuri na wanaweza kutumika katika mchezo wa Jumamosi ikiwa watapewa nafasi na...

Wednesday, March 8, 2017

BARCELONA YAIFANYIA KUFURU PSG KWA KUIFUNGA 6-1 NA KUVUKA HATUA INAYOFATA,MAGOLI YOTE YAPO NIMEKUWEKEA.

...

Monday, March 6, 2017

UEFA; JE ARSENAL NA NAPOLI WATAWEZA KUENDELEA NA HATUA INAYOFATA?

Napoli Game 210:45 PM Real Madrid Arsenal Game 210:45 PM Bayern Munich Unaweza kuwatch live game kupitia simu yako ya mkononi  kwa kupitia first row sports. ...

Sunday, March 5, 2017

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOIVAA MTIBWA LEO.

1st Elven 1. Deo Munishi 2. Hassan Kessy 3. Oscar Joshua 4. Nadir Haroub 5. Vicent Bossou 6. Kelvin Yondani 7. Simon Msuva 8. Justine Zulu 9. Obrey Chirwa  10. Malimi Busungu 11. Emmanuel Martin SUB: Ally Mustapha Mwinyi Haji Andrew Vicent Said Juma Deus Kaseke Juma Mahadhi ...

Monday, February 6, 2017

SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA TFF LIMETANGAZA RATIBA YA KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

Ratiba ya michezo ya mzunguuko huo inaanza Tarehe 24 Februari mwaka huu ambapo Azam FC itachuana na Mtibwa Sugar kunako Dimba la Azam Complex na mechi nyingine ni Kagera Sugar na Stand United na Mighty Elephat dhidi ya Ndanda FC. ...
 


Travel

About Us