
Kumekuwa na headline mbalimbali zinazoendelea nchini ila ya muheshimiwa makonda ndiyo inayoongoza kila kkicha katika vyombo vya habri na magazeti juu ya elimu yake na vyeti vyake.leo kutana na mrisho mpoto aliehamua kuwatolea uvivu wanaomsakama na kumsema kila kukicha muheshimiwa.
...